Stay Updated Always, For More Music Daily,Gossips And Music Video. Download Unlimited Of Hits Always

Trending Issues

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, January 31, 2017

MATOKEO KIDATO CHA 4 2016 HAYA HAPA

Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%.

- Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia.

Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu.


full_size_20170131110212.jpeg
Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne.
pic+matokeo+dar+es+salam (1).jpg ​

Matokeo yote yapo hapa >> http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htmhttp://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/index.htm

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages